wanaume hupitia mengi

so sparta decided to import this lady…we have been chating na yeye for a while…
kama juakali kiswahili ya sparta ni mambo yote…

This mzoga was from thika na kumbuka iyo time kwa mfuko l only had 1600 … na macoins za 40bob
l was staying in a friend house for the few days l was around. He was called zangi…l told my friend leo naleta mzoga sleepova :smiley: akanishow no worry ata kama ako na beste wakuje wote wawili :smiley:

zangi gave me an extra key ya keja…nikajuwa apa sawa…mzoga nitabuy chipo for sappa na guarana mbili …shuma ilale ndani :smiley:

we were to met in town…and the only place anajuwa ni Odeon cinema…and since she was coming for a sleepova alitoka thika kitu saa moja usiku…by 9pm alikuwa tao

eventually tulipatana…na kitu ya kwanza nilipenda kuhusu yeye ni mellon zake :smiley: alikuwa na Double D’s …
apo apo nikajuwa leo nikupepeta hadi che

tukachukuwa matt tukaelekea hadi mtaa…saa iyo nimeshikilia key kwa mkono na uliza tutafika saa ngapi…

nikacall zangi akanishow bado anapewa makali base atakuja badayee…

tukafika …saa iyo borner ile niko nayo na skia tu kusafisha bunduki…

nikafungua gate mzoga ikaingia…na kuelekea kwa zangi…lakini kwa mlango napataa dame amekaa apo na bag na paperbag imejaa nguo na ameshika mtoi

at first nikadhani nimekosea mlango…nika double check nikaona ni door no 4 ya zangi…

nikamgotea akaniuliza wapi zangi in a harsh tone…apo borner kwanza ikapotea…na mzoga ya thika ikanishika mkono …ilikuwa confused…sikufungua nikarudi nyuma hadi kwa gate

nika toa simu kucall zangi

…hallo zangi niaje? uko wapi bana

zangi ananishow usha anza kukamua ama bado…

bana zangi kuna dame ako apa nje na mtoi na nguo…

zangi was like…nini anafanya apo …wacha nakam…usijaribu kufungua iyo mlango aingiye

so l was stranded there…mzoga ya thika haielewi nini inaendelea…its 10pm vile kuna baridi…

called zangi again…akanishow ako ngara anacome…

this night was turning into a nightmare…

tulikaa apo one hour still no sign of zangi :frowning:

mzoga was getting worried…ikabidii we go look for a guest…l was feeling sorry for the kid kwa iyo baridi…na ile warning nilipewa nisifunguwe

the only guest house tulipataa was going for 1500 … :frowning: mfuko yangu haikuwa poa …na 140 tulilipa fair… borner ya sparta ilipotelea apo

my charger ilikuwa kwa zangi …na cd pia

the money niliwachwa nayo ni 60 bob

kwa room…mzoga inashangaa mbona moods zimechange…agejuwa sparta amewachwa bila any ata za cd hana…nahataki kuwa real kama ule boy alienda kukula githeri dame akikula chipo…

l went to the counter juu niliona wako na trust…walikuwa wanauza 100 bob… l begged the lady kama mtu anaomba chakula akanipa…

the night was not as l planned :frowning:

halafu usitake ona mzoga usiku inadai kukula :frowning:

46 Likes

Mzoga/carcass is the new name:D:D:D wacha nimalize

1 Like

Kweli tunapitia mengi ndio tukule mzoga :D:D nice hekaya though

:D:D:D huyo Zangi alitokea base kweli?

alipodai food ulifanyaje boss? halafu fare ulimpa? wish they invented mpesa earlier coz when i was in a situation like that niliambia dame mwingine wa mpesa aniwekee 2k napitia apo morning bt nilimpa after one week…

8 Likes

Ha ha…zangi wote Ni wakora. Uliweka kitu HKM?

2 Likes

Mzoga… :confused:
That’s demeaning

1 Like

Toa upuzi yako hapa. Mzoga, nyoka, kuku, kifaranga etc ni majina yamekuwa yakitumika for long. Unless you are new to ktalk/klist

4 Likes

hakaya iko chonjo…

Lakini atleast ulibonda kitu, zangi ilibidi alale kwa sina tabu hadi che

2 Likes

Hekaya Timam. I hope ulichapa hiyo kibwenye na hasira [SIZE=1]cant believe nimesema kibwenye. [/SIZE]

7 Likes

:D:D noma sana

leta episode two banaa…zangi alichorea mtoi wake tu ivo??? je ulifikisha threshold ama ulipiga hat-trick(shoti tatu mzito ndani)???

hekaya imeenda shule lakini:D:D:D:D

5 Likes

Uko telegram kweli iko kitu inaitwa sharing is caring.

Timotheo maliza hekaya

hekaya on point tagimijia thiini…

as long as chuma imelala ndani exit strategy ni hii apa down njaa apeleke mamake

https://www.youtube.com/watch?v=rgWr2nln83s

Too tramautizing to get a borner,ungefungua mlango Mzoga na Watu wa Zangi walale wewe uchunge mlango hadi asubuhi

That makes it okay? A living person you call a carcass?
Y’all need love to lighten your hearts.

2 Likes

zangi alikuja late maa saa ya injury karibu morning na baby mama alikuwa apo apo :frowning:

1 Like