Wanatendwa haya kadamnasi,vipi huko vyumbani.

Hivi mtu akiingia ccm anafanyiwa nini hadi asiwe na aibu?

Tulishaambiwa ana jalada (file) Mirembe. Usijiulize zaidi kuhusu afya yake ya akili.

Unafiki ndio silaha pekee itayofanya watu wadumu.

utu kwanza,shangazi yako anapigwa mtama akidai haki yake ww unaona sawa ili uendelee kuitwa PM, yako wapi mwigulu pamoja na kuvumila matusi ameishia wapi? angejiuzulu angebaki na heshima hata kidogo,lkn leo hata akilalamika hataeleweka.

kwa mujibu wa dada wa kule “the city of angels” mwigulu alishawahi kuchezea vibao kutoka kwa jiwe kwenye kikao cha baraza la mawaziri

Hahaha

Kweli kabisa hakuna namna.

Kwa kweli viongozi wetu inabidi wajitathimini ina maana katiba na sheria zetu zimewafunga kiasi hawezi kuwa na mamlaka ya kusimamia jambo pasipo kumuogopa aliyekuteua?

Wiki iliyopita tumeona waziri wa mambo ya ndani wa Ujerumani alivyompa tabu Chancellor Angela mpk wakafikia makubaliano huku kwetu haliwezekani hilo?

waliyataka wenyewe

Wasiojulika wakijulikana ndio litawezekana vile hawatakuacha salama

Ni makabila mengine tuu, hakuna msukuma anayeondolewa

It is stupidity of the highest order trusting someone who violates laws and regulations to the extent of blindly obeying whatever they tell you while expecting that they’ll always keep their bargain.
Utajidhalilisha ili ulinde cheo chako, lakini hakuna guarantee kuwa unaejidhalilisha kwake ataheshimu his/her part of bargain

Mfalme Suleiman aliyaona hayo ni kama vile alitupa jiwe gizani",Kuna jambo linalohuzunisha ambalo nimeona chini ya jua, aina ya kosa linalofanywa na watawala:+ 6 Ujinga huwekwa katika vyeo vingi vya juu, lakini matajiri* hubaki kwenye vyeo vya chini."Mhubiri 10:5-6

siasa mchezo mchafu. cheza kwa akili sana

cc @Smart911

Nidhamu ya uwoga hutawala…

Cc: @Mahondaw