Raila
Kalonzo
Mudavadi
Kituyi
Kenneth
Gideon Moi ( the richest man in east africa)
Kivutha
ao wote hawajui nani atakuwa candidate. wanangoja simu kutoka kwa Uhuru waambiwe wewe utakuwa ii, na wewe utakuwa ile. Yet ao watu ndio wanataka kusimamia majeshi yetu, na hawawezi amua chenye watafanya na kufanya chenye wameamua.
Mimi sitapigia MTU yeyote kura. Hiyo siku nitaamka SAA NNE ya mchana niende Kwa butchery niagize kilo moja ya nyama fry kisha ninunue mzinga wa red wine nikunywe mpaka jioni. Kisha niende nilale nikingoja kuona mlichagua mwizi gani atuongoze.
Kenyatta family ndio saa ii inajikaza ikuwe level moja na Moi family. Lakini itawachukua muda. Pesa ya Moi family ni mingi haiwezi toshea kwa mashamba na buildings