Wananchi Maana ya Leaving No Stones unturned......na siyo out of my fondness of MIGUNA MIGUNA

Kenya ukiskia hiyo expression inamaanisha nini?

Unajua sometimes , mtu anaona documentary casefiles. Government official anasema “we will leave no stones unturned” Amen!!!..Mimi najiuliza tu ni watu wangapi watanyongwa na toothpick by Friday wakufe!!!~!!!