Wamepata mawe

https://x.com/TheNairobiTimez/status/1959216180461179221?s=19

3 Likes

Typical Okuyo behaviour … heri kuwa a professional Pokot bandit. Huyo jangili ya mwisho inatafuta tyres bado.

2 Likes

Mzigo from crashed lorries belongs to the OCS. Wacha wananchi wakule pia.

Hio mawe ni 50 per piece

hio tabia ya kunyakuwa mali ya mtu gari likifanya accident ilitokea wapi.. juu huo ni wizi.

1 Like

Hawa wote hakuna mtu ako na mpango ya kujenga . Meffi sana

That’s why most petroleum tanker huwa na kibiriti ukiloot wanawasha mnyurie Tamaa ipungue.

1 Like