Anko wewe ulimalizwa ulipoweka cryptominers kwa site yako. Na vile nilikuwa nataka kuweka kienyeji huko, siwezi kukutrust tena
kijiji yangu iko ngangari
:D:D:D:D:D
Lakini uwes na hio uzee yote unachezanga candy crush .Pewa bra bill on georgina matina .
Seppuku lazima ukijichomea saaana lakini these dogs lack the honour
:D:D:D:D:D:D:D cheza chini ya woyes baba
sisi ni kama israel,tumezingirwa na maadui lakini hamutuwezi,ground attack will be under general moshe nyaks
our spies are deeply entrenched in the upper echelons of ktalk hierarchy
Hahahahaa
Ala?! @Abba ndie adnim Ngombe huko? Kali sana…
Ktalk inafufuka sasa. Leo nimebambika sana huku.
mpaka umetoka pangoni…
usilete uchawi kwa uzi
Uweskamende Manager ameland ama bado?
@uwesmake kwani site yako ilikunywa woyes?
iko sawa jatelo
wa Arsenal ama wa wapi ?
Wa KWFT :D:D Mbaffff…
The ckick with pink thong, uko na picha yake jnaonyesha the neck?
Mercenaries wanapatikana wapi? Nataka kuchafua wazua