Wangemsindikiza na mawe
Nice! This is the attitude we want, wakenya wanamea akili sasa…
Hizo ni doo za tax payer. They should channel that money mahali inafaa.
@Ndindu will definately love this.
Hivi ndio inafaa! Let the corrupt pastors continue receiving brown envelopes from Kasongo
Watu wakatae handouts kabsaa and demand for good roads, well equiped health facilities na kadhalika, utaona hizo takataka (politicians) hazitafika kwa ground. Na msee akilete ujinga mawe na gari inakuwa set ablaze…
Western na Nyanza walikosea wakenya last few weeks. Sasa hii ndio game. Ghaseer zipeleke pesa kwa kanisa, na pia huko zimulikwe sawa sawa. I hate politics…development ndio tunadai tu
Finally Kenyans are evolving from Homo Habilis to Homo Sapiens
Who can confirm if its any money they rejected or its the Ksh 100/= each they rejected ?
What if it was Ksh 1000/= each ?
Hawapeanangi 1000 each
Wamama hupewa hata chuani…wanasifu jamaa.
…chwezaaa,upgrade hii sheng’ yako bro…
Chwezaa ndio ilianza back in early 90s…it’s old fashioned sheng.
…ulijulia wapi na haukuwa umezaliwa by then?
Kaka, mimi nimekula salt.
There is a sheng dictionary somewhere online that can be referred to.
Still a step forward, making it very expensive for the politician.
…hehe,bado weh ni kijana kama nyakati za bomb blast ulikuwa class 6…
Ukicheki hizo miaka sio chache, more than a third of a century
Na nich ni which era of sheng
2014-2023