Wame auction gari yake

https://vt.tiktok.com/ZSmdCXNJw/

2 Likes

Dawa ya deni ni kulipa.
Hapo wana sacco walikula mzuri.

Gari ya 10M hata ka walipata muteja ya 2.5M. Bado ni faida kwao…

Hayo kando, mbona sacco hawakuchukua shares zake. Kumaanisha ni wezi.

Gari ya 10M ni gani kama sio V8?

2 Likes

FH na FRR

1 Like

Watamlipa elder. I’m sure they didn’t follow the proper repossession and auctioning procedures. Atafute lawyer wa maana. Watakamua that institution sawa sawa… now that ishafika online

Auctioneer atauza 3 million na alete Sacco just Chenye umedaiwa or less , hakuna wanasacco wamekula anything

1 Like

Majambazi sana