Wambenye hapa kijiji wanaharibu pale twitter

Mwenye amepeleka mambo yetu ya hapa kijiji pale


ameharibu.Sasa habari itafikia mwende venye kunawatu wanakulanga madem wake banae

3 Likes

@anon46421834 sasa wewe ni celebrity

3 Likes

Kuharibia mtu bizz hii design sio poa.Hii hata si u celeb.Followers wangu wote 2000 of them pale twitter wakijua mimi ndio Agwambo wata huzunuka sana banae

7 Likes

Actually this might turn out to be a blessing in disguise, utapata hio place itajaa hii long weekend mbaya sana.

2 Likes