Nimesema nini hapo juu…Wamathuraku hapendi upuss!!!
Sasa kuna huyu dame mzito Wamathuraku alikuwa amelike na baada ya kuongea kiasi mzito akaona amake move na kumuuliza out for a date, dame akasema oooh hio siku alikuwa ameshamake other plans.
Wamathuraku akasema hainawass, siku kadhaa zikapita na mzito akamuuliza out tena, dame akasema amefungwa na kazi.
Wamathuraku anakuwanga na policy ya “Siwes kuuliza dame zaidi ya mara mbili for a date, EVER!!!”
Sasa Wamathuraku akadelete kila kitu yake na maisha ikaendelea mufti, nyama tukachinja, supu tukakunywa.
Leo asubuhi Wamathuraku akapigwa na number hajui, akapokea. Wamathuraku akauliza “ni nani” nikasikia “yani ulidelete number” nikasema “usiniletee upuss” na nika hang up. Simu ikapigwa tena na kuichukua, dame akajitambulisha fasta fasta kumbe ilikuwa yule dame akiuliza if the date bado iko, Wamathuraku akamwambia hapana haiko, sasa yeye akasema atanipeleka out, nikamuuliza mbona, akadai there was a lot of misunderstanding ile wakati nilikuwa na mtaka na anataka kumake things right. Nashindwa kwani alikuwa anajiona hot cake ile wakati nilikuwa namtafuta? Sasa ni yeye ananitafuta
How old are u?
[ATTACH=full]65972[/ATTACH]
Brare fwakin siet…ghasia
You are losing the plot which is kutoa lock ya dry spell… Kula kwanza hekaya baadae
[ATTACH=full]65973[/ATTACH]
Hehehe midget, unarudi Kenya lini tukumalize? Kwanza itakuwa pale Kamiti ili niingie tu nikikumaliza
Meffi, ilirekebishwa
Yenyewe @wamathuraku wewe ni wanker tu. Endelea na dryspell yako kunyi hii
Hauko kwa mkutano ya Jubilee.
Nauliseko? Kwa huo mkutano mnapewa ama? Uhuru ako gage mbaya sana!
hatujui
meffi, niwashe nduthi na malaya wa kijiji anapeana free? Maheni
???
:(:(:(:(:eek:
Alipitia base, yake ilianza kupikwa 2 weeks ago, Tuko Pamoja
Leave your sister alone.
[ATTACH=full]65978[/ATTACH]
Endelea kukauka hi design.
Basi inakaa bado una @Meria Mata . Wewe ni mujamaa wa ufala hadi huyo anapeana free haweskupatia
@wakahoro @wakahuhu @Wakanyama @wamathuraku @Wakanai @wakandeba @Wakaraba @Wakaratu @Wakariru @wakaris @Wakasungura
How do you guys remember your passwords? and one of you has mistakenly logged in using @Wakanyama password instead of @wamathuraku
Hii mbica hunimaliza… The real shine eye making the all important mbeca the only way he knows how.
@spax owner(s) of these handles is/are simple minded below the KTalk peasant level. They operate on the one size fits all principle. So all these handles have just one password. You might be surprised that it is ABCD…
Wagithuraku si nilikuwa nimesoma comment Deorro alikuwa amemake on the same before you posted this? You are very fake.
Wamathuraku is king of all Wa kingdom!!!
Wamathuraku is king of all Wa kingdom!!!