Wamama wako na dry spell mbaya

Nmekuja kugundua married women of nowadays hu behave like single ladies and in some instances utapata singles ladies hu enjoy marital affairs kuliko the married ones. Just imagine mama unajua na ni wa Women’s Guild na hata si wa rika lako anakuja kwa inbox anakuambia eti “Aki hakuna kitu hunimaliza ka hicho kifua chako na natamani siku moja nikilalie.” Yani unabaki ukijiuliza kae nyina wa Mûgûre aragûrûkire yani kwani huyu mamaa amechizi nini?!
Iko siku nmesimama pale kambiti kufanya shopping kiasi ya maembe alafu coincidentally nikapatana na rafiki wangu wa kitambo retired driver yuwaitwa mzee Kioko. Mzee akanishow hata nmefanya poa kusimama pale juu nitapea mke wake lift hadi Kenol. Mimi juu ya heshima ya mzee Kioko nikasema sawasawa. Mama akakalia tukaondoka. Sasa tukiwa pale Makuyu kwa bumps nika-sence hali ya hatari baada ya mamaa kusema eti anabambwa sana na design nashikilia gear lever. Khai! Mimi sikumuuliza wala sikutaka kujua anamaanisha nini nlinyamaza tu hadi Kenol. Kufika hapo kenol kwa stage akaniambia alikuwa amekuja kuona sister yake but anaeza geuza hiyo plan anipeleke kwa club tukunywe fombe hadi usiku. Nlikagua huyo mamaa tena na tena nikamsorora vizuri hadi nikamhurumia juu kenye alikuwa anataka kutoka kwangu hata kuwe na kiangazi ya aina gani walai haezi kipata (stolen from LTF FB)

Chifu amka usikunie kwa kitanda
Wakey Wakey Wake GIF

15 Likes

Uwes ange plant msedes ndani.

Achana na bangi boss, imekukataa.

1 Like

Wachana na porno mzee

Hio ilikuwa set-up by Mzee Kioko and his bitch. Hio area ya Kambiti si mbali na pale wakamba huacha makaa kando ya highway na hakuna anayethubutu kuiba

2 Likes

I still would have fallen into that trap. Damn I’m weak.

1 Like