Wamama Kusengenya

SATAN is not a BOY: unasengenya mtu shetani anakuchanga unajianika kwake badala kwa wenye ulikuwa unatumia udaku. This one will never recover from the shame. :joy::joy::joy:


Hehehehe

Some people are shady as fuck

1 Like

:rofl:

Meffi

Hii ni upus ya clout.

Mbona @ChifuMbitika hayuko kwa hio mushene

3 Likes

Alidoxxiwa ametuliza haga hawezi sumbua

Niliona hio picha kumbe ni mungich mdomo kauka

1 Like

Let link bana, huyu jamaa amesubua sana

Never sleep with such a mouthy woman , mkikosana atakutangaza like ghaseeer . Afadhali a quiet woman who knows a woman place is to keep mouth at minimum levels kama mama @uwesmake . She keeps our secrets well

1 Like

“singo mother ajenge aje” vs “Nisaidie 10 k urgently”

Wacha mzazi ateseke pole pole bila kusumbua​:joy::joy:

1 Like