waluyha ni wangwana sana,no mp from western alikuwa na ujinga kwa bunge
3 Likes
The lack of foreskin is a deterant from some behavior. I’m proud
6 Likes
Wong niaje
this has nothing to do with foreskins but with the brain
1 Like
niko na mabeshte wengi sana waluyha na ni wangwana sana isipokuwa uncle nyam
2 Likes
Usha wai patana na “soja” mluyha???
1 Like
Na wakamba je?
Na wakuria je?
Na waborana je?
Na Wataita je?
Wong tulia ,hao wabunge ni campaign wameanza.in luo nyanza you hv to create the “rebel”“anti gok”“apan tambua sirkal” persona to impress the electorate.
Ni kitunguu wanataka inuke post 2017.
3 Likes
niko poa
Niko poa unataka nikukamue. The typical answer Kwani Leo ni aje
2 Likes
Uwesmakei ashakamua vitu
1 Like
huwa ako job,kwa hivo hapana cheza na pale mtu huwa anatafutia posho,hata mimi huwezi niletea zako kwa dojo