kweli ugonjwa wa kuku unaweza kudhuru mtu?nyinyi ndio maexperts
nimeingia nyumba ya kuku nikakuta my prized jogoo imeinamisha kichwa,nikajua hii nisipo fanya chap chap itanipotea,mimi huyo naitisha kisu na kuikata fast time,nataka kuikula iko shida inaweza nipata?siyo vizuri kutupa nyama
Mimi Ni msaapere lakini description ya @Jirani of you huwa inanichekesha Sana…eti he be showing brown teeth and mungiki eyes…ROR…Tafuta hii Jay doubts ziishe
kuku haina shida na binadamu.
ndio hii picha yangu
Upus
[ATTACH=full]17143[/ATTACH]
that fly ass M.C in ua avatar ni kitu yako ama unaipangia? she looks like a cowgirl who can wake u up at midnyt nd ride it till kingdom cums… ame-make headlines sana of late.
uyu dame ni nane??
Kendez mendez umerudi
Siyo vizuri kutupa mboka…
@Wakanyama smoke the meat for three days then cook, apart from killing the germs and whatever may affect you, it tastes sweeter.
he he he ,naikula leo,
na uhakikishe umekula imondo ya papa
Mungu anilidie hizo zingine ‘kihuruto’ isizimalize
Hope by tomorrow the village butcher will still be around. All I know is that bird flu is real and takes out a human in less than 24hrs.
Ask the Koreans and the Chinese.
nisipo post ujue wakanyama is no more juu ya ulafi, juu sikukosa nimekosa nyama mzuri,lakini nimefanyia hio jogoo hesabu ya vile nimeilisha nikaona sio poa ipotee hivi hivi
Usijali uafrika itatuua sisi wote kivyake, leo ni kuku, kesho siasa, kesho kutwa petroli ya free.
Wakanyama hio mboga iko Sawa trust me been there done that…bora ujue hio ni ishara ya outbreak so feathers and bones of the cock should be disposed properly penye the rest can’t access…hio outbreak ilitokea nilikua ocha once nikaamka nikitoka kwa isimba found one had died and wameizika…Niliifukua mara mora nikatafuta Dania, royco na pilipili kisha nikaidryfry as they watched me thinking il die…hata to stomach ache pekee sikupata…suffice to say bon appetite…
Hope hukurarua boot ya hiyo jogoo ndio ikakuwa mgonjwa.Animal molestation is growing rampantly.