Walisahau Baba

[MEDIA=facebook]328145830569495/posts/4748516281865739[/MEDIA]

I do not encourage abandoning parents, but there are always three sides to a story.

… Baba hufanya kosa moja… Akiwa na pesa anatesa mama. Anaanza ku enjoy maisha (tho it’s understable, he’s sacrificed a lot) kumbe watoto wanaona, wanajua baba yao ni ghasseer tu, wanamdharau… Kwanza wakiume. Wana side na mama yao. Ile day wanaomoka…Wana kaa mbali na baba yao. Baba yao anateseka, mama anajitenga anawekwa msuri.

Funzo. Ukiamua kuwa na family kuwa mtu ashakula raha zake si ati ukona familia na tako halipiti kama hujafata. Huwa ni ngumu kusamehea baba akikutenda while u mchanga and needs his help.

Where did you get all this from? Did the sons tell you so ama ni kimberere yako? Is that how you treat your father?

Parents are not gods, ukiona mtoto amesahau wazazi kuna reason mzuri, hapana judge kabla kujua story yote.

The father is not neglected. Na yeye hajasema ako neglected.

What’s stupid is expecting the father to live large just because his sons are dollar millionaires.

Some parents prefer to live a simple life without being entitled to their children.

Don’t believe that crap

Tulia hapo ujuzwe mengi. That aside, niliona how my uncle was treated. Kuna time alikuwa na wife number two…Na stock inje kiasi. Sons hawananga kazi yake nowadays. Pesa zake ziliisha. Besides ni ngumu Watoto walenge baba yao kama alicheza role yake fiti. You may be having a good relationship with your dad because he was there for you , kuna wazee wengine bure sana.

Towa opinion, we are here to learn. Though talkers attack opinions.

Huyo jamaa huwa mjinga Sana wachana yeye.

Funny the double standards of Ktalk,one minute someone’s re-arraging kunguru guts and shooting his 7 shots and parachuting to embobut all while keyboarding how singo mathas are shiiet,but sasa anaona kuna kakitu from the seed he abandoned…The father absconded at some point no doubt,hawa vijanaa wamegrow eastlands na tushida hivi hivi baba akila uroda kule shinyalu na bibi ingine, sasa ameona wacha alilie kwa TV magazeti watoto hawamusaidii,hata baba ya diamond,kevin hart,mayweather wako hio riba,mwingine juzi alirudi after 47 years alipoona maisha imemkataa.The boys have no obligation to ‘help’ him out but wanaeza kumuona kakitu,but kwa sasa anyamaze kiasi

He looks alright to me. what else does he want at that age, just shelter, food and clothing. Kama anataka pesa ya kufloss na pombe atumie yake

It needs a special heart to overcome pain caused by a polygamous father who left kids to suffer with their mother as he enjoyed life with his other family. That’s the story of Noah Wanyama and his famous sons, through they have not abandoned him, he just feels they don’t give him as much as they give their mother. That’s my story too though I take care of my dad plus his other family but bado niko na uchungu ya hizo miaka.

:D:D:D:D

Ushakia that when a bird feeds on bread at the top of a tree, the ants too feed on breadcrumbs at the bottom of the tree

Hapa umekuwa mhenga kweli kweli. Maana ya ndani na fiche tafasali.

mothers should never suffer

Namaanisha… when these guys give money to any other person apart from dad somehow it reaches the dad indirectly