walevi

Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki…! !!

Mlevi wa pili akamnyang’anya kisha nae akaangalia kioo akasema "wee kweli huna akili, si mimi huyu? halafu unajidai hunikumbuki …!!!

Wewe ni mlevi wa 1

Sawa

Swadakta.

Hao lazima wakuwe ni wa changaa ,sisi wa John walker hatufanyangi vitu kama hizi

umbwa ghassia takataka with shitty posts

Anko wacha nifundishe muyamaa how to post a mlevi Sacco thread, leo kunguru niya Area code yakina @kasaman na @Mundu Mulosi naskianga ni malayaville sana sana… Mkia reporting for ktalk news network.
[ATTACH=full]172470[/ATTACH]
[ATTACH=full]172471[/ATTACH]

Nimeachia hapa.

u shud av quoted ur entire handle, hii short form is misleading n ur sexuality myt be put into question

Sijui kwa nini nimetagiwa kwa hii but isoke. Mimi niko kwa second generation hapa hata sioni vizuri.

Vipi mlosi niko hunting hii Area yenu… Waiting for kunguru. Mkubwa nisaidie mawaidha… Naskianga hapa hata gari inaenda ikiwa parking?

Sawa @Bingi…more coverage and breaking news coming.

Just make sure you don’t eat the Kunguru kwa gari, utakuwa safe, gari unaeza nunua ingine.

waiting:)

The kunguru has landed… Yani billionaire waiting for kunguru for 2hrs hujuma.
[ATTACH=full]172479[/ATTACH]

omwami naomba picha ya manicure ya huyo dem peee yake

Wacha nikurushiee paja… Ni 8gb[ATTACH=full]172480[/ATTACH]

Leo nimeji kosea finali ni leo… Mimi hapa kunguru inanifunga… Hii na kula mbio mbio ni rudi home lazima ni shangilie Liverpool mbaya.

Welcome

Mzito assure me am safe here?..