Hii riddim ilikua mbaya, skiza tukifukuza njeve, kama una lovers rock swaf wekelea hapa nitaclick. Blessed
https://www.youtube.com/watch?v=47pHC3SrJfI
Safi sana
My Baby riddim, kali sana
Following for a friend
Congratulations on your graduation at MKU Jana albeit the numerous sups. You have power to read now.
safi gecko
Hii riddim naona ni nzuri ubaya wake wapi ?? … Naona wasema riddim mbaya. Sioni ubaya wa Hii mziki kaka
Mbaya ina maana ingine kwa lugha yetu ya mtaa- sheng
inamaanisha ni kali, unanpata?
nakupata
safi