If you happen to know the guy who owns Vegas wines shop at nyali, hio biz Mshow itakunywa maji faster than he can say “haiya” Ameajiri tuschana who seem to love the drink even more than the job, kiraka mpaka escapee vile yaonekana… Pole kwake
Hehehe…
WAcha vinyangarika wampe funzo…
MBICHA AMA UENDE UKAMUE @Web Dev
[ATTACH=full]58261[/ATTACH] Uweskimwi kiino kii Wii mutumanu ta nguli
Kuna blackout whole day hapa actually
@jumabekavu umepewa heads up. Nenda pale umueleza umefichuliwa na papa mweusi kwamba biashara yake itazama akiendelea na hao wafanyikazi. thank me later cc @Meria Mata
kwani hawana generator
hehe…hapo from 9pm ni club,unapataga tufisi hapo inje kwa pavement nama-tumbler…very discouraging to potential customers!
nani anakojolea kazi yangu
@muria.mboco umetoroka na bill ya mbeca ngapi mara ngapi?
weka picha ndogo…wengine wetu tunatumia alcatel pop 3.5 inches
Sargem si Alcatel prissssssssssssssssss
tunangoja ujibu mashtaka pare kilimani mums ya @Mathaais
My friend hio upuss Ya kuhepa na Bill nliacha nlipomaliza chuo kikuu, it’s actually annoying seeing a guy’s effort go to waste. …na vile I’d like to run such an outfit.
wrink ?
nimepigiwa tu saa hii juu ya bill ya 6k nilihepa Sato sijashika simu .
Mutavye ingi viliz!
mkamba singo madha niaje ?
Poa auntie