Wale wa dry fry

I got trust issues. I’m a man capable of wearing all three condoms in a packet at once.
You see growing up, my mama used to tell me, ‘wewe kimbiza tu waschana hapa lakini siku utapata ile ugonjwa kubwa (HIV/AIDS of cos) usiogope kumeza dawa, utameza hizo dawa pekee yako na usisumbue watu hapa wakuanike hizo mifupa zako nje uote jua’
I know no one knows what will kill them but Mimi husema better safe than sorry wakubwa. Asanteni wote including #TeamDryFry

3 Likes

ukimwi ina tiba. mbona utumie Condom alafu uangushwe Na cancer?

4 Likes

Mimi kama ni dwy fwy lazima in a marriage set up with my wife only, akiniletea ugonjwa it means there was no way I was going to evade it

7 Likes

very true

2 Likes

ulipata ukimwi ukapona ama?

2 Likes

Niko hii group.

4 Likes

Ambia waiter akuongezee kile unakunywa kwa bill yangu . :D:D:eek::eek:

4 Likes

hapo sawa

[SIZE=1]Mimi niko team absteinance[/SIZE]

2 Likes

[SIZE=6]Ati team what?[/SIZE]SIZE=1 :)[/SIZE]

aka team Kawasaki. pia ni sawa tu bro. I feel you

4 Likes

I believe Kawasaki is unGodly

1 Like

page gani pale kwa bibilia

1 Like

Naskia kule kiambu uliuma kabufallo dwyfwy hkm

1 Like

Actually, it’s more expensive and painful to manage cancer than HIV-AIDS.

2 Likes

Still, RWNEBPORK.

Wish!

Enough with this already!

Ati bufallo hkm :D:D:D

Are you knew (sic) here? No thread is complete without the name of baba being invoked.
:D:D:D:D

Ama mbegu kama wasee wa Mathare??

1 Like