Walalo wanakula poa hii serklai ya playing mantis

[MEDIA=twitter]1629423655510736896[/MEDIA]

Major shareholders

Kwani wako na shared ngapi ?

boy wa home Mark Bichachi pia amechujwa

Kwa hizi revokes zoote sijaona mkale ametupwa nje.

Fala ya Kimilili umeninyamazia sana,usiniogope saana,siwezi kukuumiza

Hahaha, utangoja sana kijana.

Iko

Utangoja sana.