…mbona hamuku-post kwamba serikali na wasiaga unga jana walikubaliana unga kilo mbili usizidi 75 bob? or the announcement does not suit thee popular whining narrative? Nina tinhat na body armor …
Saa Hii ni Obado/Monica/Maribe ad nauseum, give it a few weeks then whatever you brought up might be considered.
Wow thats a great move…
Ngoja uone ma broker watafanya artificial shortage ndio utajua serikali ni pararira. Hawawezani na ma cartel
Pararira ni zile mahoni za mat za Githu?
:D:D Vuvuzela.
Lazma niende border county na Bale ka 29 ni pewe homecoming
Ni kwa muda tu
Si busia ndio mnauza gorogoro 25bob kama kutupa?
Umenona sasa Nyako
Hi @Lola-
Nilikuwa nimeenda MIA ktalk juu ya njaa huku kayole
Hata VAT nimesahau thanks to maribe and obado
That’s why nimesema Bale…ya packet villager’s hukula tu kwa matanga za walimu na head teacher
Hi …how you?
Kwani @uwesmake haleti chakula nyumbani na ako na Factory a.k.a Kisiagi
Uwesmakes humaliza pesa Harrys tavern na malaya wake
Niko na mahindi yakutosha kwa gala hadi naona ikiharibika in other news mahindi ikipungua Kenya kitunguu inanogea huku place niko job, details sipeani.
Google awasa iko wapi ,mahindi imejaa Kwa stores inangoja kuvuka.
Umeingia leo na ile ufala yako