[COLOR=rgb(85, 57, 130)]Nipo maeneo flani apa dar,kuna kijana kadhalilishwa sana.Amekutwa amelala,yupo na suruali ya jinzi ikiwa haina mkanda.Kavuliwa kwanzia boxer,viatu mpaka vest.
Jambo la Kusikitisha,kafanyiwa kitu mbaya sana.Na inaonekana na watu wengi,sababu kondom zipo kama 5 ambazo zimetumika na nyuma kwake kachafuka vibaya.Mpaka sasa akili yake aipo sawa alikunywa pombe nyingi sana.
[COLOR=rgb(85, 57, 130)]Anaonekana kijana mstaarabu around 28s,kwa kweli anatia huruma sana.Watu ndio wanampeleka serikali ya mtaa kwa msaada zaidi.
Kakosea sawa kunywa pombe hovyo hovyo, ila nasi wanaume tumekuwa na nyege za kuku mpaka tunafanyiana unyama wa ajabu kama huo?!
Kweli vijana wa kiume wa Dar ni domo zege, wapenda mizoga, na mashoga…