wakuu tujuzane usalama wetu upoje mana nondo zinaweza kuanza kumwagika muda wowote je hawa ni kama jf?
Ni hayo tu.
Woga wako ndo umaskini wako
Hata huko JF unaona kulikuwa salama?
Pambana na hali yako
Just do it…
Huku usalama utakua mkubwa zaidi kwa wale wa jukwaa la siasa mana huku ugenini kutakua huru zaidi kwa mawazo yangu
Uhuru sio mnoko mnoko kama malaika jiwe.
Usiogope ndugu watatukamata wangapi?
Usalama upo ila sio asilimia 80…Hata figisu figisu zilizotokea kule Jf Tz ni kwasababu Max alikuwa anapigania usalama wetu hivyo akikamilisha usajili ataambiwa kuwa siku wakitaka taarifa za member basi lazima wapewe.Kufika hapo tutakuwa watu wa kusifia tu.
Worry not mdogo wangu ur safe here
Shukrani sana
Melo kakanyaga sana mahakaman juu yetu watu wanataka wachangiaji wajulikane na majina yao halisi
Usalama labda
Ni swali zuri sana mkuu
Umenikumbusha kitu
@The Tweet njoo ujibu hili swali muhimu
Hakuna usalama hata robo muwe makini na mnavyoandikaa @Fred the red
Unadanganywa bro hakuna usalama hapa sie tumekutana kuchitchat tu hapa rahisi sana kukamatwa
Unanikumbusha wale jamaa wa Mwakenya na kina Wapiganaji wetu waliojihifadhi Kenya. Ilifanyika swapping na Mwakenya walinyongwa bila kuuona mlango wa mahakama
Ndio hivyo