pray for Israel, jaymoh and mata…
they are at it again with their neighbours ama?
ulivuna waru?
bado a month to go.
may The Force protect you from blight…
[ATTACH=full]169110[/ATTACH]
Mbona shamba haina spacing
waru inakuwaga hivyo. inaanzaga na spacing ukipanda ukipalilia ina-spread ku-capture jua ndio ijaze viazi.
ziko
iko watu wanasumbua Gods people ama ?
kuna watu wengine wanafikiria hii dunia ni yao peke yao…
Poa sana
wamekula tear gas ngang’au. wacha hii ya kenya mnaachiliwa kamoja kamoja huko ni rocket launcher rapid succession sijui umeona hio story. si walisema hawataki wana wa Mungu duniani, border ni moshi tu.