Uko na shida wewe. Na si kuna ile wakanesa ingine ilikucheza kama Toto jinga??
the old adage…Ktalk never forgets…
Mimi hukumbuka yule alionyesha @Stony maajabu kwa bed. hehe.
That was me during my first pregnancy, I hated the smell of onions, my husband’s sweat, fries na kuku za tao, for the first three months I puked karibu all day everyday, I lost so much weight.
*From second trimester I ate avocados and mangoes like my life depended on it by the time I was giving birth I had gained 18kgs
Hii kanesa niko nayo sasa iko poa, Ile ingine niliwachia mafisi wajibambe nayo… Nimepima na iko poa kabisa, siwes complain kwa sasa.
Wacha tuone huyu wenu atakuwaje
Boss sio kupenda kwangu, niko job huku makueni.
Mwalimu Nduthi yako uliipata? How’s Tawa?
Mbona harufu ya pesa haimpatii allergies? ??
Kwani kuna any meal especially mboga ambayo haipikwi na kitunguu? So basically other than chai wewe ndio unapika everything else kwa nyumba.
Sio allergies ni preferences
Ugali, mchele, chapati mukimo ( though Mimi hukaanga) etc
Kilo at a ongeza zisi kutishe I was 56 kgs before my first pregnancy by the time my son was 8 months I was 60kgs. Bora anapebda mwili yake ataitunza.
Nilispecify mboga. Yaani mchuzi. Hizo umetaja si mboga. Unless wewe hupika ugali kubwa na ugali ndogo as mboga
Kunaye nimewai bembeleza tukiwa kwa butchery on a sunday ameletea jamaa wa butcher noma eti anataka Mutura…Sunday Mutura huwa haiuzwi coz slaughter house ufungwa friday…the lady was literally wailing…
Kwani wataka kuolewa?
Sijawahi pata brasa, nilibuy nyingine lakini hii nalala nayo kwa bedroom, Ile siku utakuja Tawa shtua mimi .
Poa will do that Mkubwa.
,link ya nduthi kusanywa.
Most definitely