Wakubwa mtu akitaka kuweka Dready ye ufanya?

Marasta hizi streets …mtu akitaka weka madready mtu uanzaje? mseh hii mtaa kinyozi ni 15euro mabrathe na mimi uenda twice a month…Ni show vile mseh uanza kuweka ma dready na sii zile za umungich…nataka zile dready mtu anaweza fanya nao works kwa office (official) …zile neat neat hivi…wakubwa.

Simple. Hapana chana nywele with time zitakuwa dready

5 Likes

kwanza eka apology letter to all mungichs then waone kama wata consider lunch ya githeri na avocado na wewe. mambo ya nywele mtaongea lunch time.

5 Likes

una madread fatso?

1 Like

Chokosh leo naona muna pendana.

3 Likes

let the hair grow as tall as possible, wash using ovacando and eggs, smoke bang repeat this weekly thank me later

12 Likes

come take mine for a small fee

Bingy ulianzaje mkubwa…kuzi grow

At one time I did zikaanza kuwa brown nikang’oa

so advice yako ni nisiweke…wacha nikimbie kinyozi

Ukiwa na kichwa ya kushika dready ziweke na usafi ni muhimu ama utaanza kuzigonga gonga ka zile weave za wamama tao

3 Likes

@Jirani niaje kaburger leftover kwa dustbin tukule pamoja ?

1 Like

leo mapipa zimeja ma pizza mseh…tukutane ile corner yetu chokosh niku gawie

1 Like

Hehehe… Mblo hapo kwa ovacando Umekula sweep roho safi.
[ATTACH=full]45910[/ATTACH]

13 Likes

maybe alimaanisha ovaries ziko kando .

2 Likes

:D:D:D

Mimi niko na dready za fudhi! I just don’t shave

2 Likes

Yaani unaota fudhi?

1 Like

Dye ni ya kazi gani?

1 Like

Fixed