Wakubwa cheki kile mwoman wangu Nicole kale mjerumani ananitumia

Ati Schatz ich vermisse dich …hio nkusema baby i miss u kwa wale hawa elewi kijeru. Narudi Berlin on Friday…meffi nyinyi na Kenya yenyu. Am german now.

[ATTACH=full]60970[/ATTACH]

andika jina @Jirani kwa mkono otherwise it never happened

Sorry Jigranny. Can you repeat your question please?

Your backside has been bought and paid for. I recomend you buy Rubia 40Se lubricant by a drum. You are now officially a Migugo…na si kwa ubaya

[ATTACH=full]60971[/ATTACH]
Kwa wale hawajui nicole…mezeni wembe

Kwani uko na picha moja tu yake

Fanya venye @Osiris amesema

Siwesi weka face pic apa…i luv her 4real

Ntawekaje jina kwa whatsapp msg

Ana Matee tee Poa sana…nycness and sweetness!

ooh sorry thought she sent you money for your fare back to Germany ; so its just a photo

Hizo za green ni 100euros. Za orange ni 50euros …sijui kama ame angukia jackpot. Amesema kesho ananitumia 1000euro pale western union ati njibambe

[ATTACH=full]60973[/ATTACH] [ATTACH=full]60974[/ATTACH]

This is a whatsapp photo she sent me like half an hour ago…wacha uwivu brare fwakin siet

Labda ameanza kuuza basmati!..napenda sanaaa!

Mwoman wangu hakai hivo. Ukiona mzungu ana hustle kenya jua yy ni chokosh in my eyes

Labda ameanza kuuza basmati!..napenda sanaaa!

Ziii ni wa familia ya wadosi lakini crazy hivi. Nilimshow kuhusu @Wakanyama akasema akuje kenya na mm ampige RKO

Na uwache kukopy signature ya uwesmake!..yeye ndio huwa na hiyo kidole!

hio kidole yako jo…iko na deadly fungal infection. Yahitaji attention ya village Dr. @Luther12 :D:D:D

[ATTACH=full]60977[/ATTACH]