Wakisii tonachua kudance

1 Like

Machoka, are your hio ni ya kisii kweli. Hio dance style ya miguu hunichekesha sana. Niliona iko sana zimbabwe ama ni mozambique ziwezi kumbuka fiti. But wueh!! hio dance inakata weight na wiki moja

2 Likes

Shangaan sanasana

2 Likes

Sasa kuna hii :joy: :joy:

Funny dance. Hii ni ya kisii pia. Life bila technology inakaa ilikuwa msuri sana.

2 Likes

Machoka, they sound like nyinyi kisii ama kalenjins. @mikel sasa cheki hio leg move. hatari

2 Likes

Thissi arri our tistant cousins

2 Likes

Hio energy iko too much

Effen us kisiis arri chust rike tat

1 Like