Wakimbizi wamesusia kurudi nyumbani?

Mh! Very strange hasa ukitilia maanani iko hewani for more than 24 hours now. Si waseme nini kinachoendelea badala ya kuendelea kupiga kimya!?

Kosa la mgeni mpe msosi ashibe; hakumbuki kwao aisee ha ha ha

YEEEEAHHH kama mimi wanapenda kuedit sana hapa KT nitaomba visa.

smart why insisting pm only pm only???

@Smart911 why insisting pm only pm only???

Mimi huko hata watu wakianza kupost nitakuwa msomaji tu mambo yote nayamalizia ukimbizini

BAK rudisha ile avatar its your brand ha ha ha unakuwaga sexy and romantic kwa ile avatar

Ugangwe huupendi eh! Haya nimekusikia maana wengi wameshalalama kuhusu hii Avatar, I hope I saved it somewhere. Nitajitahidi kuirudisha nafasi ikiruhusu. Thanks amu.

Something is not right, usually they update members of what is going on with the forum especially when the forum is not available. It is more than 30 Hours now and no announcement. It does not look good.

Tumieni huu wakati kuwahabarisha ndugu na jamaa wa JF kuhusu uwepo wa subforum ya JF KT.

Definitely… binafsi sijapendezwa nahilo

cc @Smart911

Definitely. binafsi sijapendezwa nahilo kabisa

Cc @Smart911

Mjini shule

Na usweken Mkuu!?

Huko ni likizo Mkuu,
Mjini ndio shule na maGogoni ndio ofisi ya mkuu wa shule ilipo. Karibu

Sawa Mkuu. Nasubiri michapo ya leo ya World Cup.