Wakimbizi kutoka Tz

Ni ishara mbaya sana hii. Leo sisi ni wakimbizi wa kimtandao ila kwa hii hali tujiandae kwa kuwa wakimbizi halisi.
Naomba ndugu zetu wakenya mtupokee japo tuli wasimanga na kufikiri nyie ndiye mtakua wakimbizi,kumbe sivyo.

Wakenya mume wapa wasomali kambi ya KAKUMA siju na sisi wakimbizi wa mtandaoni mtatupa kambi ipi? au kuna kambi ya KAMBOr…?

Nadhani baada ya muda tutakua na uhuru zaidi huku. Wale jamaa wa kitengo walikua wanafunga baadhi ya nyuzi kule JF sidhani kama watafurukuta huku

Pia pata kuwa mahali salama. huta kuwa na hofu na watu wasio julikana

:D:D:D yeah!!@

Sawa Bro. Kumbe tumekimbilia wengi humu

kijiwe kipya baada ya jiwe kuvuruga cha zaman

Bhahahahaaa

unafurahi? unaonaje maisha ya ukimbizini?

Bado hayajanoga kama ya home ila baada ya mwezi 1 nadhani yatakuwa bora zaidi ya yale kule, sijajua kama malaika watafika huku kufunga au la

hawasogei huku. watabaki chato

Kweli kabisa mkuu, huku itakuwa ni vigumu kufanya upuuzi wao

Malaika hawana mipaka

Kinywaji kipya kweny chupa ile ile:p:p:p:p

Dunia ya sasa itamuhangaisha sana kwa uzuzu wake

na ukali ule ule

Yako vyema kikubwa ni kujichanganya na wenyeji na kuendana na utamaduni wao, kadri muda unavyodhidim kwenda na wewe unachomeka utamaduni wako itafika kipindi kila mmoja kaelewa utamaduni wa mwenzio na mamboa yanakuwa sawa

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

malaika wa Mungu ndiyo hawana mipaka lakini malaika wa chato wana mipaka na wana mwisho na inshaalah mwisho wao utafika.

DAH…nimekuwa mtumwa kwenye nchi yangu mwenyewe…kweli yajayo yanafurahisha sana

tunarudi nyuma miaka 30. ipo siku Internet itazimwa Tanzania nzima na tukiendelea kunyamaza tutakuja kupangiwa hata siku za ku wafanya wake zetu.