Wakimbizi anzeni kufungasha virago vyenu!!

Mie najikuta tu huku KT nimefika hata nikirudi kule huku bado nitakuja aisee.

Nilishapata na majirani huku siwezi wakimbia aiseee.

@A.G. nyumbani kwetu kumeanza kunoga ujue jirani. Hahahaaaa.

Sio vyema kufungasha virago hii ni kama nyumba ndogo lazima ubakishe mizigo kidogo

Mimi bado sijapata mpango wa kando Hajar sijui hata nakosea wapi!!! Halafu nyumba niliyopata huku ukimbizini inanafasi bado kuna chumba kimoja kitupu kabisaa,karibu uhamie hapa usipate tabu mkimbizi mwenzangu:p:p:p

Watu tulikua tumeshaweka makazi huku ukimbizini jamani, si unajua tena watu wa sehemu moja mkikutana mbali na nyumbani kaukaribu kanazidi, sasa duuh! inabidi kurudi home tena hahahaaaaa!

Itakuwa kuna sehemu unakosea bana. Hahahaaaa.

Haya usimpe mwingine Sesten muachie Hajar wa watu aje aweke kambi hapo palipobakia ili asipate tabu kama ulivyosema. Hahahaaaa.

Ndio hivyo Sesten tujiandae tu au wataka kubakia na weye huku? Teh teh.

Hahahahaa. Eti eeee. Japo ka pensi rafiki.

Hahah!! Kabisa yani kwaajil ya dharula

Mbona hii kambi ya wakimbizi ya Kakuma inanoga sana, ngoja nikusafishie kabisa hiki chumba fasta Hajar

Usiende. Sitaki kusema kwaheri huu wakati. Kaa huku, nitakutembeza mitaa yote kijijini mwetu.

Hahahaaaa. Mie wala siondoki jirani.

Ila nilikumiss aisee. Uko mzima lakini?

Ewaaaaa. Andaa kila kitu naja Sesten

Nitakuwa nakuja kuchunguliachungulia huku pia.

Ila nyumbani kumenoga zaidi Hajar na Wahenga walisema mkataa kwao ni … Pamoja na raha zote za ukimbizini hapawezi kufanana na nyumbani. Turudini nyumbani tukapajenge kwetu ili pawe kama huku ugenini na sisi tuwakaribishe wenyeji wetu angalau waje watutembelee

Majaliwa ,mie ni mzima kabisa…mambo ndo kanizidia…ila nipo tu.mrembo wa dar uko vipi

Hahaaaa. Sawa Sesten.

Naja naja naja.

fanya fanya basi nipatr na shemela kabisa!

Hahahaaa. Jirani Kiswahili chako. Duuuh.
Pole sana kwa kuzidiwa na mambo. Hahahaaa. Lol. Hii ni zaidi ya lugha gongana aiseee.

Haya bana jirani nafurahi kusikia uko poa. Have a good day.

Hahahaaa. Shemela alishapatikana Kaka.

Si nilikuambia uwe mwalim wangu wa kiswahili ukakataa. Ona sasa vile najiabisha paruwanja …lol hahahaa wewe sio jirani mzuri haha

https://www.youtube.com/watch?v=0jK5E4s5ySs