Wakenya na Kenya Talk yenu akhsanteni kwa kunikaribisha na kunihifadhi kwa muda ila sasa narudi rasmi JamiiForums

[FONT=courier new]Mbarikiwe sana na tutaonana tena labda pale TCRA wakiamua kufanya yao tena kwa Mtandao wangu pendwa wa JamiiForums ila kwa sasa kwakuwa huo Mtandao umesharudi hewani nami GENTAMYCINE sina tena jinsi hivyo narudi zangu kule kule Uwanja wa Nyumbani nikatiririke na kuserereka Kinyumbani Nyumbani zaidi.

Akhsanteni sana na mno. Mungu akipenda tutaoanana tena!

Nawasilisha.[/FONT]

Home sweet home JF

Bora uendage tu.

Nimeoona nimeonaa jamani nimeona IPO hewani jamii fouram turudi home kumenoga

Siondoki apa

Inshaalah!

Kunguru za magufur zinarud kwao

Hata mimi sitoki hapa…
Kule ntaingia tu ntasoma ntaelewa na ntatoa coment baridi…
hapa ni nondo tu…

Mm bado nipo. Wakenya siku zote wanatupenda sana watanzania. We share many things with them.

Sasa wana application, iko poa sana