Wakenya muwe na ujirani mwema!

Kimsingi hakuna binadamu anayeweza kujitegemea kwa kila kitu hata awe tajiri kiasi gani. Akipatwa na shida anahitaji watu wamsupport hata kama atawalipa. Hivyo basi sisi watanzania tumepatwa na shida ya kupigwa ban kwa mtandao wetu pendwa, tukaribisheni tushirikiane mtupe n.a. mbinu za kurudi home. Sote ni ndugu tushirikiane

:meffi::meffi:

Duh

Mbinu za kurudi home ni kuanzisha kampeni ya kumuondoa dictator

Aisee

Kuna mahali nimekuta tumetukanwa duh! Hadi nimeogopa kuchangia mada aisee…
Ukimbizini ni shida

Mefffiiii…