wakenya inueni nakumatt

…hehehe, @introvert stand down!

Watakao umia are the thousands of kenyan employees. sasa hata usipojali, jua kama kuna beshte, relative au neighbor kitunguu hatanukisha. Usitakie place mabaya ilhali madhara yanafika mbali…

ati atia parachuter??

:eek::eek::eek:

Juzi nimepita Mega hapo Uhuru highway nikitafuta maji baridi, manze hata zile zao sikupata. Nikajiambia nishike kasoda baridi instead. Katika pilkapilka za kusaka jokofu kamili (sio zile za shelf) jamaa mmoja mfanyakazi hapo akaniandama akadai tubonge kiasi. Ukiskia mwanaume amekuanzia na sentensi “wacha tu nikuongeleshe kama mwanaume mwenzangu” jua iko shida. Jamaa aliniomba fare tu ya kufika kwake juu imekuwa noma hadi kulipwa. Ilibidi nimwachie kakitu jo. Nikajua meffi ishachapa kiyoyozi…

Tulihamia carrefour na Naivas. Nakumatt wajisort coz the owners had so many offers to help with their issues but were so proud and refused to give part of ownership.

Woiye hope ulimpea

Hii si charity they should just do black Friday style sale then turn the building into a whore house…

Kwani hakuna ktalkers wanaskia hii joto ya nakumatt ?

Simple, ongea nao poa …waweke gilbeys ,WD40,Tissues na pampers on offer…talkers watajaa. Its a rallying call.

Ilibidi. It was so unusual. Na alinisho ako na familia. I hope alibeba unga na mafuta ya mhindi apelekee watoi.

Pitia Nakumatt Mega na Garden city. kuna offers…

Mimi ntapea hao wahindichieth mia mbili yangu after wamenipea kamomo ka 77 years muhindi nitombe.

But I think Indians should be expelled from Kenya all scandals hao ndio wamefanya . Sasa wameiba pesa yote nakumatt waka peleka India WITH COOPERATION FROM OKUYUS .

WAHINDI NA WASOMALI WARUDI KWAO .

salo ya this month walikuwa wanalipwa 40-40-20 ama kitu kama hiyo

Uchumi ya Eldoret had everything and was cheaper.

I remember @gashwin being robbed of his 20bop pale nanyuki mall. Good riddance?
:smiley:
@123tokambio thats deep! Mtego wa panya hushika waliomo na wasiokuwemo!

Nilikua pale Nakumat naxvegas. Manze hakuna vutu hadi chewing gum. nikanunua vitu mbili tatu . After kulipa jamaa akanipakia vitu kwa kabox kaviatu Ati hakuna papers… Nilishangaa nikajitoa bila ubishi.

imagine Tumaini ya Rongai iko better than Uchumi ya Rongai yet Uchumi iko kwa mall, wacha hata tusiongelee Tuskys

Labda wauze hizi mayai za @Deorro vile ziko nyingi kwanza hii @milvoski

Story ya juala iko na issue btw leo nimepewa kabag simple but not plastic if you can get to supply those bags nationally ubillionaire pap