Wakati wa kujivinjari imefika.

Iko na maclub mingi tofauti. Last I was there kulikua na Anuba, Hypnotize and Tapas Cielo. Just next door at City Mall kuna Sheba. Opposite Mombasa Paradise kuna ingine nimesahau jina. Ukiteremka na links road tu kidogo kuna Bob’s.
Kama uko in good form kuchotana ni sare. Kuna wines and spirits flani near there nimesahau jina but ni kubwa watu hujifungia ndani wanakunywa. Iko across Links road (opposite side from Nyali Center) kuchotana hapo ndani ni almost guarantee. Ni mabibi wa Wazungu pale wengi, so no damages.
Links Road usiku hua na mapoko, na Bob’s wao huanza kuingia from 3 a.m. kama hio ndio form yako.

How long ago was this?

Nyali Center ni 3 years ago.

Post covid vitu zilichange

Nini imechange?

Sijui kama ni msoto ama ni nini lakini night life ya huko sio kama kitambo.
Kwa mutu amezoea hepi za Nairobi akienda Msa sasa hoping to see variety atakuwa disappointed