[ATTACH=full]49034[/ATTACH]
Na vile napenda Mutura bana. I could have it for breakfast with bread.
upeasant ndio uko nayo mingi sio kupenda,brare shaitan
Hiyo mtura ilikuwa ya mbwa mla paka.
hio nyama ilikuwa ya mnyama mgonjwa,ya mbwa watu wamekula
Niliambiwa ati mtush hutengezwa na nyama chokosh wameokota kichinjio hapo Dago. Sigwes na sigwesgusa.
ulidanganywo…
ti ukweli?
Mtura is the waste parts of cow carcass . Kichwa, miguu, huchemshwa. mwili, maini, roho, hupimwa kwa ratili. So what you are left with is the lungs, tits, pancreas… . But the majority of mtura meat comes from unborn calves after the mother has been slaughtered
Btw, @Wakanyama, Niko na mbegu na dem huko maguguini . Pureblood
Shieeeeet!
True… Ask @Wakanyama… I prefer eating home made mtura lakini nikilewa mi hustukia nimekula
nyama ya calf inaitwa veal na iko sawa na very soft
kuna mathe alisema alibuiya mtoi wake iyo mutura. kidogo kidogo ati ‘mtoto arieda kwa choo alikua anahara oiro’