ndarugo stones checked 5000pcs
[ATTACH=full]24357[/ATTACH]
Kishinjio ama?
upmarket apartments
we chokosh sychophant chapa mjengo.
kweli wewe ni hustler uko kichijio,butchery,gwa thubu na mjengo kweli wewe ni millionare.
ama hii ndiyo eurobond?
upmarket na tunaona tu single rooms hapo kando na milango za mbao
mawe ume uziwa aje and how is the quality ?
Thats the way @Wakanyama . Hii Nyairofi inataka mijengo
anyone can take pictures of stones like these ones.Mbicha ya reciept ni muhimu or you just trying to get some female ktalker to put it on the head.
Way to go mundu wa subcounty.
Big up.
Alafu io quality ya mbisha iko down…2.0mp…uza mawe kumi ununue simu iko na quality camera
@spax anajengewa nyumba na bae
You don’t know about 2 mp bro. Hio ni kilo pixel moja. :D:D.
watu waache Ku-hate. Big up wakanyaks. Way to go!
:D:D:D:D
Ikiwa ni mawe ya 9’ , that should be 16 lorries (Isuzu). Nice move
Kumbe mutura iko na mbesha?
Congratulations.
kwa hivyo ulitumana lorry kumi na sita hahaha na kuna ma nugu huamini hii joker na delussions zake of grandeur
Wamanyama, hizo ndimanga ni mangapi buda?
would you be related to jasusi from klost daktari @Luther12 was looking for you.
there is a series you were doing on construction before klost boarded the malysiam mh370