Nyumba iliisha?
Condo
Naskia foreman alihepa na materials za kujenga ndo maana the guy is so bitter.
Kazi yako Ni kuzurura 47 counties yet foundation yako Tassia imekuwa dumpsite Na choo.
:D:D:D
Hii funda ilikua mtu yakubebana na simitii bwuana
Inaitwa tactical retreat. Tunangoja next jan watu wakiwa busy campaign turudi mjengo. In the meantime, naenda county 1/47 on Wednesday
Don’t u have a lot of resources to waste? What’s the purpose of visiting counties whose voting preference is obvious? E.g. where in Nyeri will u get odm populace?
Hapa sasa unaniangusha
Lazima niende all counties. By the time am done, I’ll put all data in excel and come up with excellent permutations.
Wishing you All the best
Asanti sana. Tunaanza na Mombasa.
Ukitaka mtu wa interior fit out niko apa.
Nyinyi watu wa interior ndio nimeskia mnafanya cost per square metre ipande from 35k to 43k
Tiling?
Tiling,laminate boards,kitchens,wardrobes, gypsum ceilings,alluminium works & decorative paints e.t.c I also design and build.
I will need your services in the near future.
By building what do you mean? cost per square metre ni how much?
sema kunusa fiachara…he he…
ION @bjurmann siku hizi una consultant kutoka ma-Jei juu comebacks zako ziko yuu sana?..
Lipeni watu wa interior… Nyumba ni interiors si nje.