Wakanyama, what happened?

raha ya pesa nikuitumia, price dont matter.
depends on how much you need it and if the seller knows your hunger/thirst for his product hua habanduki

1 Like

Wewe ni mwerevu sana

Kwani wewe @Mathayo ni foreigner

na hii butcher wangu hushinda akiniambia ananikatia chaps ama chirps ndiyo gani?

@Meria Mata usiwazoeshe kusema ‘ng’ombe ZA Mombasa’. Wazoeshe kusema ‘ng’ombe WA Mombasa’! Ama’ mbuzi wa Mombasa’!

hehehee
Hapa tunahitaji @xuma atusaidie

1 Like

Hizo tu huwa ni ribs, ni jina tu za mtaani.

Expand your circles brathe, any restaurant bigger than 2 star, you get asked the cut of beef you want.

I have come to believe everybody who operates a butchery is a cattle thief.

shots fired, take cover

he he he,chunga sana vile unaongea kuhusu wenye butcher

Viumbe wenye au vyenye uhai kwa umoja yaani ‘singular’ ni ‘huyu’ na kwa wingi au ‘plural’ ni ‘hawa’.

3 Likes

Ahsante sana, Mwalimu, kwa kukumbali mwito wa watoto wetu!

1 Like

Japo naienzi hiyo taaluma, sina ari ya kuajiriwa kuwafunza wanafunzi Kama chanzo cha mapato-tegemeo.Lakini nikihitajiwa kushauri hapa na labda pale, sitakuwa na budi kughairi.

1 Like