@Wakanyama the birrionare.

Kujia hizi kondoo uchinje.Zina randaranda bure.Pale Likoni Ferry pia kuna mbuzi zina zururazurura ziki cross na ferry asubuhi na jioni.[ATTACH=full]28609[/ATTACH]

Hii ni pesa,hazina mwenyewe?

Hio ni moto ya kuotea mbali…hujawai skia ile story ya watu waliiba kondoo kufika mazera wakasikia wamama wakiimba ndani ya lorry?

10 Likes

Ferry is free. Wacha zi enjoy this short sweet life

@Wakanyama, Mimi huziona kila siku jioni leo nikaamulia mbisha.Zina lala tu nje.Pesa hizi brathe…he he…@riang’a nene sijaskia hiyo hekaya.But hata hizo mbuzi za Likoni Ferry naskia ziko na “thievers advisory”…iba ushangae

2 Likes

Yani wewe haujui kuchinja kodoshe. Ama you are filthy rich this January?

He he he yafaa zichinjwe bana.

Hata mm nimeingia birrionares club.Mm hapan tambua njaanuary.

Ni kama zile makaa ziko kando ya barabara on their own