Imekurudisha nyuma mangapi? Mjengo naskia siku hizi pesa inaenda kweli
Hapo sawa wakameat.
Haters, kitu gani ya maskini mshaikula ndio mtusi wenye mali?
How many rooms dear for our house?
Haters all over, mundu wa sub county kuja na Ile sword kubwa
[SIZE=1]io pesa imetumika apo kuweka foundation, slab, kusimamisha mawe na kulipa fundi wengine wetu hatuwezi ona:D:D[/SIZE]
I want to personally congratulate you wakameat! Can we meet!!
Congratulations in order. Big up! Ukienda kununua mathirefu uniambie.
done
Osiep chunya mathirefu ni nini?
Wakanyama huwa na ideas lakini he doesn’t know how to properly express himself…
Hapo sawa. Congrats munene.
Mudu wa buchare, congratulations kama sio nyumba ya jirani umepiga picha
Mathirefu is roofing tiles.
Oooh sawa… Tutaongea na @byro atuchoree plan ya yetu pia
Kwa kale kaploti ka Karen.
Sio mingi,pesa ,finishing ndio hukula
mimi nitaweka mabati
Hehe. Ongea na @Twangapepeta upate zile za kupima kwa kilo
Hako nikakukodesha,yako bae nitakujengea palatial mansion is
He he he,shida ya huyo jamaa imezidi
hmmm?