Ukiwa na pesa nyumba humea kama mahindi
Mbisha ni muhimu ata kaa ni ya mahindi
[ATTACH=full]24866[/ATTACH]
Hiii chokosh inafanya kwa mjei
Hio mjengo ni yangu chokosh ya dandora
kama ni yako weka approvals za plans au sivyo wewe ni mkubwa wa workers
Hii mawe haifanani na ile mbisha ya mawe ulikuwa umeeka…endelea kukoroga simiti…saa nane imefika saa ya kazi ni ii
hating on a nigger…
Hii inakaa unapproved project. Piga site board picha.
Well in Wakameat! Endelea hivyo vivyo. …
[quote=“Mathaais, post:9, topic:70926”]
Hii inakaa unapproved project. Piga site board picha.
[/QUOTE,mimi hapana tambua plans,I am bankrolling my project[/QUOTE]
Good job.
Pia takataka wewe.
Wanker meat congrats. 5000 stones zimemaliza gorofa kweli?
Naona mahali pesa za eurobond mukificha lakini hio mjengo inakaa ya kuanguka kama Ile ya kehonge.
Hii nyumba inakaa tu kuanguka
hii sasa ni cow shed kabisa
Haiwezi anguka,bado plaster
@Wakanyama ako internship my masonry.
:D:D:D:D:D:D:D:D
Wakanyaks congrats. Hiyo ni ya kukaa ama ni ya kukombolisia?