[ATTACH=full]51752[/ATTACH]
LAKINI BADO NI NYAMA?
Soupamarket bado iko wazi,
Kazi kama kawa
Nyama ya punda mlia iko poa. Used to take it kitambo kias…but ata sai swes mind though.
@Wakanyama nitafutie nyama ya Swara chini ya Maji I buy it at a premium.
utanunua hiyo swara ikiwa mzima?
Bora imechinjwa na Ngozi niwekewe kando
Mbia chara imenoga kunoga
kwani unadaisha kila kitu,next utamshw akufungie pia sauti yake ukuwe unatumia ka ringing tone
and I have just realized that I may be arrested for solicitation of game meat oops
sissy
kiguoya
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Siezi ambiwa hivi niache itembee!!!
hapo nimekubali K.O :D:D
:D:D:D:D:D:D
We ni fala zaidi…
:D:D:D:D:D
Unaeza kujiwa kama vyenye @Wakanyama alikujiwa na watu wa kws after kuchota nyama ya porini
At least in Kenya we still try protect animals in the wild.
Wee enda Nigeria and other West Africa countries, usikule “bush meat” unless you are the brave type.
They never tell you what animal is now bush meat on your plate.
Hawa sasa wanataka kumaliza zebra, and the way they are beautiful site alonf nai-nakuru highway
Hata umeenda mbali, hapa UG, Gulu nikataa Bush meat, it was black meat, nikaona labda ni ya baboon.