@wakanyaks

Oya! Hey @Wakanyama! Fungua bushiri bana tukunywe thubu na mtura.
Wacha kujifungia huko ndani. Najua biashara ilifungwa na Makanjoo (mod), ndio uoshe ikue safi.
Naona sasa iko safi kapsaa, hata umefukuza hao machokosh walikuwa hapo nje wakitegea ngarango.
Fungua Duka Mzae.
Wewe utakuwa bado VE na ukiongea msuri nakupea ile cheo ya @Meria Mata…:slight_smile:

1 Like

MUNGICH , SQNY 50 INCH 3D NI HOW MUCH ?

4 Likes

^^suspend hii Meffi @Electronics4u

1 Like

hehehe. nimeona ameniita mungich…

1 Like

ile cheo ya mary mata[SIZE=1]ko[/SIZE]

1 Like

Eeeeh jo mm ningekuwa Mod singe waste even a second. He broke one of the rules, right? Mpe hata kama ni two days suspe

hehehe. Tuseme apana mzito. Lakini nikuulize tuseme wewe na uncle @uwesmake mkutane pahali kwa dark alley. Si mtamalizana?

Asitake ona. Na asiwish tupatane. He will know why J is a tae kwondo master

1 Like

Wakanyama kuja mbio na shiny red eyes, hii kijiji inakumiss ingawa wewe ni sycophant, ndugu ni ndugu.

7 Likes

Sindio unaona Uwes ako na machungu hivo. Kumbe ana miss wakanyaks?

3 Likes

you mean the handle @Wakanyama is back?

cc: @wakinyonga

1 Like

Si ungeuliza SAMSNUG External HDD ni ngapi?

2 Likes

Title yangu is earned not given out haphazardly.

6 Likes

You got a long way to go bro.
-junior ES
-senior ES
Finally Elder Statesman.

Heshima iliisha Ile siku ulichoma closet.

3 Likes

Hehehe nilikuwa nimesoma Samsung

muthuri wa busheri @Wakanyama rehe thubu wa usiku sacco

1 Like

Wacha kuanika general.

NIAJE REGGE squad

2 Likes

ocs uko hii nairobi?

1 Like