wakanda movie

:D:D:D:Dhapo umejikanganya clear copy utangoja hadi mid year… peleka yeye imax

Ongea vizuri nikupee ticket ya imax free

place niko hakuna imax

HD??

Enda cinema. Ukitaka kitu clear ngoja several months.

Am aware

Hii movie kwani ikona nini inatajwa kila wakati?

Mwambie unangoja ya Dj Afro

It is a shitty overated movie