3 Likes
Hizo nizakuongeza nyumba zingine in future
9 Likes
Wapi Exactly na naona Madirisha kwa hiyo ukuta? Ukiangalia the upper floors pia kuna Balconies.
Huyu ni @johntez_addi_gaza_ms ali overquote Machuma aibe.
3 Likes
Hakuwezi kosa ujanja na hawa local fundis. Nyumba itaongezwa ama balcony.
4 Likes
Hapa ni kazi ya grinder for one day. Wakameat Ako sawa
2 Likes
Future balcony …
Ni veranda to join with new block
Hizo sasa zimekuwa njia ya mwizi sugu mbakaji @johntez_addi_gaza_ms atatumia kupanda kuibia tenants wa upper floors.
