wakamba - kenyas rubber experts

is it poasible that the akamba walitoka Liberia?

99.99% of puncture repairers are kamba. nilikuwa nadhani ni nyairobi tu lakini hata kisii the veteran repairers ni wakamba. wakisii wengine wamejaribu kuanzisha their own lakini no one repairs a tire like a kamba! anashona tyre hadi gari inatii. ride inakuwa so smooth utadhani amebadilisha shocks na suspension!

is it hereditary ama?
nani anaweza nipa jibu?

yaa hii thread msinitusi vile mumezoea

2 Likes

omogusii omochinga! ekemoni ww

1 Like

Mbona hawkers kama wote ni wasapere?

yaa kuja pole pole yaa

2 Likes

sio wote.

Hiyo ni talent iko kwa genes zao. Ni kama tu wajaka na bodyworks ya gari. Hata North-Eastern na Samburu ni wakamba tu wanafanyanga hiyo job.

3 Likes

Hawkers and hookers - kikuyus
Mama mboga na msee wa kibanda- mkamba
Watchmen- luhyas
Mech- luo
Warria- majama wa ku peddle tu-perfume

1 Like

Hookers hapo umekosea. That is a diversified business. Hawkers ni wasapere kusema ukweli

1 Like

Tombists -luhyas cc @uwesmake
Cooks- luhyas cc @uwesmake
Romantic- Wangas cc @Abba

4 Likes

Hapo kwa wakikuyu ungesema almost everything
Waria pia ni watu Wa fearshara sana
Luos pia huwa brainiarchs* sana
Wakamba pia hufanya feashara zingine, wait ,everyone in your list seems to be in diverse fields, which means your list is upus

1 Like

Ahem!!!ubaya hatuwezi counter check hio yako yakoitabidi umeleta signed affidavits

3 Likes

yaa niaje. umelost sana

:smiley:

2 Likes

Luos are the best artisans and technicians… from umakanika to fundi wa nguo na viatu to lab analyst

Kyuks are the best in having a hidden agenda

5 Likes

Hehehe… There’s a deal I’m working on, the other concerned parties are all Luo, hawajawahi ona mtu wa team UOTP kama mimi.

5 Likes

@M2Random yaa stick to your subject of single women

1 Like

It is a talent kasee.

1 Like

…ama wajaka na koroga kwa mjengo !

1 Like

wangas are the shinny eyes of luhya kingdom, reason hawatawaipatana na bukusus.

1 Like

How did you know ? Wewe ni wanga? You right on point