Wakamba Huwa na Madharau Sana

Wakamba walionyesha my cousin mambo. Day ya wedding dem amekataa kutoka kwa nyumba jamaa anauliza shida iko wapi anaambiwa msichana anasema anataka panty mpya.
Mind you that was after the buying process took three days longer than expected. Siku ya kwanza walitulazimisha twende soko alafu jioni tukachoteshwa maji. Siku ya pili tukawapikia na tukawaserve. Alafu hiyo usiku saa sita wakatuamsha tuanze negotiations. By morning we were all crazy tired tulilala hadi saa sita.

Since then my uncles husema tembea place unataka lakini mtu asikanyage ukambani. And if that cousin tries to leave his wife after three days on the cross of torture lazima nitajilipa in some form.

3 Likes

Hii Sasa ndio naweza wambia wakae na msichana yao. Mimi mwenyewe nilishindwa kujipikia, seuze kupikia halaiki ya watu. Upuss ya traditions inaweza kasirisha. In the meantime I’m learning Kikuyu kiplani. August naenda kwa kina bibi ati kukona muchemanio :joy: my sons walienda kutembelea their great grand mother. I learnt hawamuiti shosho, anaitwa maito… :grin:

4 Likes

Watu ndio hupika lakini pesa zile mumetoa huwa mnarundishiwa kaa zote

1 Like

Hio upus yote juu ya punani… wacha ikae.

6 Likes