Wakale jameni

Unachapwa zako nne na mwalimu juu ya kuandika rose instead ya loose ukiangalia nyuma yako apo ivo unapata besta yako mkale ame andika. Helogofta.

Rudisha hii ujinga mahali imetoka

2 Likes

Kipii hujamalizwa na ukedi?

3 Likes

Niaje Mosa…uliwacha maswara?

Meffi wewe takataka ya manispaa

3 Likes

Hata kama ni bangi hii peleka kwenye huwa mnavutia shenzi hii

3 Likes

Bado nko strong :muscle:…, ulipata kazi au uko tu pale kufaghia choo unapewa na walevi 20bob??

Niaje mtingiza… nice to see u :wave:

1 Like

Pole mkalee

Nilipata job ya 170k per month huku airport