Kwanni kunauzwaa nini ?
Kwanni kunauzwaa nini ?
Cheap Chinese junkwear. Longi ya 50 cents shaina inauzwa 1k huko
Hii ndio dawa apa kenya. Bei ya mwananchi with healthy margins utakafunga. Especially in these bad times (worldwide, kenya is not special)
Hapa hakuna nguo za wanaume.
Na vile ulikuwa excited kupata longi saba za khaki slimfit easypress 96%cotton 4%spandex

Kuletewo
Huyu ni transgender. Hatumtambui.